Friday, 2 September 2016

WALIO CHAGULIWA AWAMU YA PILI KIDATO CHA TANO 2016

Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016.